Recent content by baba fey

  1. B

    Samsung s4 LTE A (4G)

    Haina, iyo protector ndiyo ina kreki
  2. B

    Samsung s4 LTE A (4G)

    Ina 32Gb, haina tatizo lolote. Wasiliana: 0675107182
  3. B

    ZoomTanzania Customer Service Mbovu

    ZoomTanzania badilikeni na mjifunze kutoka kwa mitandao mengine. Sijawahi kuona Mtu anabandika tangazo lake linachukua siku kibao ndiyo linakuwa aproved kuwa hewani, Badilikeni na huyo mtu wenu wa huduma kwa wateja mtimuweni maana hafai kabisa hayupo committed na kazi yake.
  4. B

    Plot4Sale Nauza Kiwanja Goba B

    Kipo Bado
  5. B

    House4Rent Chumba Sebule Choo, MbeziBeach Kwakomba

    Xhjvjkbvgnkiffkrr
  6. B

    Plot4Sale Nauza Kiwanja Goba B

    Ipo Upande Kulia wa Goba A kama unatokea Njia nne, Goba B inapakana na Salasala na Mivumoni. lawyer2
  7. B

    Plot4Sale Nauza Kiwanja Goba B

    Ukubwa: 25M × 20M (500SQM) Kiwanja Hakijapimwa ila hakina Mgogoro, Mimi Mwenyewe naishi jirani na Mauziano yatafanyika serikali ya mtaa. Bei ya Kiwanja 8.5milioni
  8. B

    Nauza Kiwanja Kipo Kinzudi, SalaSala

    Kipo Bado Kiwanja
  9. B

    Kiwanja goba kinzudi 20m kwa 20m, m7

    Na hati kwa Bei hiyo???????????
  10. B

    Nauza Kiwanja Kipo Kinzudi, SalaSala

    Ukubwa wa Kiwanja 700(35×20)SQM. Bei Milioni 15 (Maongezi Yapo) Kiwanja Kipo Sehemu nzuri, Watu wamejenga sana, Umeme upo, Kituo cha daladala hakipo mbali sana. Kiwanja ni Skwata hakijapimwa ila wapo majirani wamepima viwanja vyao na wamejenga, Kiwanja ni Cha mzawa, hakina mgogoro wowote.
  11. B

    Fao la kujitoa PPF

    Fao la kujitoa kulipwa ni sasa limekuwa kitendawili kwangu. Nimefuata taratibu zote na documents zote ikiwamo barua ya kuacha kazi na fomu za kujitoa, niliziwasilisha PPF makao makuu, waliniambia ndani ya wiki mbili ila sasa miezi miwili imepita. Naomba kujua huwa inachukua muda gani kulipwa?
  12. B

    Kiwanja goba kinzudi 20m kwa 20m, m7

    kiwanja kinauzwa goba kinzudi. ukubwa:: 400sqm (20m*20m). bei:: milioni 7. simu:: 0675107182
  13. B

    Kiwanja kizuri kinauzwa Salasala Kinzudi

    KIWANJA NI MITA ZA MRABA 800 (40Mita*20Mita), [VIWANJA VIWILI VYA 20M*20M] BARABARA YA GARI IPO HADI KWENYE KIWANJA. UMEME UPO JIRANI HAUTAJI NGUZO. BEI: KIWANJA KIMOJA (20M*20) MILIONI 7, VIWANJA Viwili (40M*20M) MILIONI 15. UELEKEO: GOBA STAND➡RECA COURT HOTEL➡SITE...
  14. B

    Kiwanja kizuri salasala kinzudi,

    KIWANJA NI MITA ZA MRABA 800 (40Mita*20Mita), [VIWANJA VIWILI VYA 20M*20M] BARABARA YA GARI IPO HADI KWENYE KIWANJA. UMEME UPO JIRANI HAUTAJI NGUZO. BEI: KIWANJA KIMOJA (20M*20) MILIONI 8, KIWANJA CHOTE (40M*20M) MILIONI 16. UELEKEO: MBUYUNI/AFRIKANA BUS STAND(BAGAMOYO...
Back
Top Bottom