jenga cha kwako DOMO LIMEKUSHUPAZA KA NGOMA et ksa udom mara mzumbe,,,,,,,,,,,,,,,af ww unaonekana una wivu na hv vyuo hahahahahahahaha,,,,,,,,,,,,,,,,,,huruma sana .
Sasa sisi tufanye nini?anzisha chuo cha kwako ndio uboreshe iyo taaluma unayodai hamna au nenda kawaambie TCU ayo uliyoyachunguza mi naona ushuzi tu kila siku udom hv mara udom vile jengeni vyuo vya kwenu ,,,,,,,,
Inaonekana waz udsm wapo kishabiki humu ndani maana kaka unadai chuo kikuu ni kimoja tu kitu ambacho sio kweli hata chembe labda nikutoe ushamba tu ambao unao wa kudhani udsm ndo chuo maana takwimu zinaonesha kuna takribani vyuo vikuu 41 sanjari na ilo mi naamin kama ww ni msomi YAPO...
Mi cwez kushindana na ----- ka ww usiyejua udom na udsm wanatumia mtaala m1......KILAZA kwel af et nakimbiza udsm sema sio mbaya endelea kukimbiza VILAZA wenzio bhana....
Source ya maelezo yako ikipatikana ntathibitisha la haikupatikana bac utakuwa na JELOUS(WIVU) na UDOM sema endelea kukipandisha chat tu endelea tena na tena mkuu..
We nin usitake kujikosha apa hao sua wamefanya nini et elimu bora wakati KILIMO BADO KWANZA hamna lolote mi naomba tafakari kisha chukua hatua tangu sua ianzishwe kama chuo cha kilimo kimeifikisha wap secta iyo nyeti au uti wa mgongo wa uchumi wetu sio mnakaa kujisifia tu wakti...
Sasa ww umethibitisha kama ni mnafiki maana mi nadhan hujui UDOM ipoje lakn unajitia kudai haina wahadhiri cjui nn wakati sio kweli wala nn SO WW ACHA UNANFKI kwa kusema yasiyo ya kweli kuhusu UDOM sema vzuri maana mnaipandisha UDOM chat bila kujua wanafki wakubwa.
Inaonekana mkuu unafanya kazi TCU so ndo mmepanga ivo daah sema nahis mtakuwa vichwa maji ww na TCU wenzio maana mtaala wa udsm na udom ni mmoja sa sielew daah pole sana sema ushauri wangu nenda MILEMBE wanatoa tiba ya matatizo yako kuwa kichwa maj ndan ya masaa 24.
Namna hii UDOM inaonekana kuvipa challenge vyuo vikongwe wakati ni cha juz tu hhahahahaahhahahahahahha sasa sijui baada ya miaka 10 hii UDOM ya sasa itakuwaje maana miaka 5 tu cjui udsm,sua na vyuo vingine vinambwela kusikia UDOM sema sio inshu mnazid kukipandisha chat tu bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.