Recent content by baba deokala

  1. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Inasomeka TAMISEMI
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Kubadilishana kituo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Hahaahahaa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Nimeongea Kwa uchache ndugu Wala sijatoka kuchimbua sana Kwa undani Kwa ufupi ni kwamba huko ninakotaka kwenda ndipo nilipo andaa makazi ya kudumu lakini pia Kwa mazingira niliyopo ni vigumu kujiendeleza kimafanikio (baadhi ya watumishi wanafahamu) hivyo natamani nitoke niende Mahali ambapo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Mpaka Sasa maombi yangu ya uhamisho yamekomea hapa yana mwaka mmoja mpaka Sasa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Unachosema kiongozi ni sahihi Ila changamoto ni kwamba hapa nilipo sio Mahali ambapo nahitaji kufanya makaz ya kudumu (sitaishi hapa baada ya ku-retire)
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Dah!!! Nishawahi pigwa kaka na hakuna lolote jipya
  8. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Wenzetu mmewezaje kuhama?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Habari za muda wakuu , poleni na majukumu, Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kimtandao

    Kaka vip ulifanikiwa kuwapata matapeli hao?
  11. B

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Rais Utumishi ni kero kuhusu hamisho kwenye mfumo wa ESS

    Kumbe tupo wengi ambao maombi yetu yapo TAMISEMI.
Back
Top Bottom