Recent content by Baba AY

  1. B

    JamiiForums Tanzania Bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya

    Bila shida Ndugu yangu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya

    Wakubwa habari za wakati huu. Kijana wenu bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya ili kukimu mahitaji ya familia yangu. Naelekea kukata tumaini la kuishi kabisa,...Mniombee Elimu yangu Ni ya secondary,na Nina ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ustadi Sana. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kazi. Nina elimu ya kidato cha nne

    NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu. Nina uwezo wa kufanya kazi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ombi la Kibarua – Niko Tayari Kufanya Kazi

    Kiherehere tu Mkuu ndo kimefanya nioe. Haya nisaidie ndugu yako
  5. B

Back
Top Bottom