Ninaimani data za kumteua huyo mama hazijatoka kwa watanzania, zimetazama makaratasi badala ya uhalisia wa input na output ya huyo mwanadafwada kwa taifa hili,,,,,,,,hongera kwake but there's no reallity
Kama unavyoweza kufaham jaribu kuona mbali juu ya hili coz vizazi vinabadilika wakina mapalala wanaondoka wanakuja akina sie na wakina dot com wako mbioni,pata picha itakuwaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.