Recent content by BABA A-JAY

  1. B

    Walimu wapya Halmashauri ya Morogoro vijijini hawajalipwa Mishahara

    Serikali yetu ya Tz bwana! Huku ulanga mambo ni magumu sana. Pesa ya kujikimu hatujapewa yote na mshahara wa mwezi hausomi, da!
  2. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ulanga moro nije kilosa, kibaha au kilombero. Idira ya msingi. Kama upo tayari ni pm.
  3. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ajiraaa mpya!!! Njoo ulanga-morogoro, nije kibaha, kilosa au kilombero. Mawasiliano 0759873595 au 0717228242
  4. B

    Hodiii wana JF

    Jamani nimeingia JF mwaka huu, naomba mnikaribishe wana JF.
  5. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Walimu idara ya msingi ulanga morogoro nahitaji kwenda kilosa morogoro sihitaji kulima mpunga kama unahitaji kulima mpunga, maharage na ufuta. Tuwasiliane 0759873595 na 0717228242.
  6. B

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Njoo Ulanga/morogoro mashamba ya mpunga ekari moja gunia 18,maharage,ufuta na mahindi. Nije kilombero, kilosa au kibaha Idara ya msingi. Mawasiliano 0759873595 au 0717228242
  7. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Rafiki yangu mwalimu Idara msingi, yupo wilaya ya ulanga/morogoro anataka kwenda momba,mbarali,mbozi,mufindi au iringa. Mawasiliano 0763126831.
  8. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi Mwl. Nipo ulanga/morogoro idara ya msingi, natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka wilaya ya kibaha,kilombero au kilosa. Mawasiliano 0717228242
  9. B

    Du! dada zetu hii mikao mh....!?

    Du! Full kijitangaza.
Back
Top Bottom