Habari wanajamvi wenzangu!!
Poleni kwa janga hili linalotukabili.
Mm ni jinsia ME,
Umri wangu miaka 29, mrefu sio sana mwembamba.
Elimu yangu ni Shahada. Najishughurisha na ujasiriamali.
Kwa sasa naishi Mwanza
Nipo hapa kutafuta mwenza ambae yupo serious.
Awe na umri usiopungua miaka 23 na...
Habari wanajamvi wenzangu!!
Poleni kwa Majukum
Kwa jina naitwa John,
Umri wangu miaka 28,
Elimu yangu ni Shahada
Ni mkazi wa Mwanza
Nipo hapa kutafuta rafiki/mwenza ambae yupo serious na anaejua nini maana ya maisha, na anaejitambua
Awe na umri kuanzia miaka 23 mpaka 30
Asiwe na tabia mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.