Recent content by B22

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Serikali kwa sasa

    Naamini serikali imeishaweka kipaumbele chake kwa Sasa ...kuwa ni kujenga uchumi .
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nini dawa ya bawasiri nahisi Kama ninayo dalili
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Serikali kwa sasa

    Je nini kifanyike ?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Serikali kwa sasa

    Naomba tujadili kidogo kuhusu suala la mwelekeo wa Serikali yetu kwa sasa juu ya kushughulika na kero za wananchi. Je, ni kweli Serikali ya chama Cha Mapinduzi wameshindwa kuongoza nchi? Je, CHADEMA wana sera nzuri zitazoweza kutuvusha na kusafisha pale CCM waliposhindwa? Tuanze na maswali...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Exactly mkuu
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Pikipiki na gar natumia Sana ...but na mwaka Sasa niliokataa tamaa ya kumuapproach msichana yoyote
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Kivip naomba ufafanuzi kidogo
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Sawa hapo nimekuelewa vizur kabisa na naomba iwe ivo
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Kama maji nishakunywa sana...muda mwingne nakubali situation lakini muda mwingne mm Kama kijana nahitak kuwa kwenye mahusiano
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Kivip naomba unielimishe
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Sasahapo nafanyaje ili kutatua hili tatzo maana sasahiv limekua tatizo kwangu....lakini hapo nyuma mambo yalikua Safi ili limeanza 2017
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Kweli kabisa lakini Kuna muda mm Kama kijana natamani niwe kwenye mahusiano lakini Kila nikijitahid kumfuata msichana nimpendae ndo ivo wengne dharau nying
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Kaka mm sitaki wanaojiuza ...natakua kwenye mahusiano but Kila ninaemfuata hanitaki na ananikataa kwa dharau sana
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Tatzo Imani yangu ipo kwa MUNGU na nafanya maombi kuvunja roho za maagano juu yangu
Back
Top Bottom