Recent content by AZIZI ALLY SULTAN

  1. AZIZI ALLY SULTAN

    Bega langu la kushoto linauma naomba msaada

    0716838423 TUWASILIANE NDUGU VIZURI Sent using Jamii Forums mobile app
  2. AZIZI ALLY SULTAN

    Bega langu la kushoto linauma naomba msaada

    Lilianza gafra tu na sasa linagosheka kama kinavunjika kitu linauma kwkweli Sent using Jamii Forums mobile app
  3. AZIZI ALLY SULTAN

    Bega langu la kushoto linauma naomba msaada

    Habari kama kichwa cha habari kilivyojieleza napata maumivu makali katika maungio ya bega langu la kushoto. Je, kuna mtu anafahsmu kuhusu hili na je kuna mtu anafahamu dawa. Msaada Please. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. AZIZI ALLY SULTAN

    Huo mstari upo katika wimbo gani?

    Ukiendekeza ndugu utavuna magugu... Utakufa kibudu na MUNGU autamuabudu utamkataa wajoto utamkana wa baridi atabakia wauvugu vugu naye pia ataleta gubu... SASA HIVI MWENDO WAKUVALIANA MIWANI TU HUO MSTARI UPO KATIKA WIMBO GANI??? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. AZIZI ALLY SULTAN

    Nini tiba ya maumivu ya bega?

    Na jee alikutwa na ttzo gn Sent using Jamii Forums mobile app
  6. AZIZI ALLY SULTAN

    Nini tiba ya maumivu ya bega?

    Naomba umuhulize ametumia dawa gani kupona bahda ya kufanya vipimo plz Sent using Jamii Forums mobile app
  7. AZIZI ALLY SULTAN

    Nini tiba ya maumivu ya bega?

    Habari, Poleni na majukumu ya kila siku.. Naomba kuuliza eti maumivu katika bega la kushoto kugosheka kama unagosha vidole na kuwa na maumivu makali ni ugonjwa gani au kama mtu aliwahi kuumwa alipona kwa njia gani? Msaada please Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom