Gazeti la jambo leo licha ya mapungufu yaliyoandikwa lakini sio baya. tatizo hawajipi nafasi ya kuhakiki habari wanazoziandika hivyo asilimia kubwa ya habari zao zinakuwa hazina mashiko. elimu na uzoefu sidhani kama ni kikwazo kikubwa kwao kutofanya kazi nzuri. wananchi tunahitaji habari ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.