Recent content by Azbig

  1. Azbig

    JamiiForums Tanzania Je, Mjukuu ana haki gani katika Urithi wa Babu?

    Niliyaka kujua kama kuna sheria ya moja kwa moja inayompa haki mjukuu kuwa na sehemuya urithi kupitia mama yake.
  2. Azbig

    JamiiForums Tanzania Je, Mjukuu ana haki gani katika Urithi wa Babu?

    Baba yangu mdogo alikuwa na mke mmoja na watoto watatu na mjukuu mmoja baba na mke wake walitangulia kufariki, baada ya muda kidogo akafariki mtoto mmoja kwa sasa wamebaki watoto wawili na mjukuu. Swali Je, Huyu mjukuu ana haki gani katika urithi wa babu yake?
  3. Azbig

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya kuku wa nyama Dar es salaam na bei kushuka nini chanzo?

    Samahani maelezo hayakuwa katika maada husika
  4. Azbig

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya kuku wa nyama Dar es salaam na bei kushuka nini chanzo?

    Hakuna pesa inayopatika kiulaini changamoto lazima ziwepo, nilitaka kusema kwa habari chanjo kwa kuku ni changamoto unaweza kuwachanja harafu wakafa hii hutokana huifadhi wa chanjo, chanjo inahifadhiwa kwenye ubaridi na tunajua changamoto ya umeme mara nyingi tunauziwa chanjo ambazo zishakufa...
Back
Top Bottom