Recent content by Aymanarusha

  1. A

    Mtindo mbovu wa biashara

    Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar. Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo! Nikashangaa...
  2. A

    DOKEZO Usumbufu wa ma askari wa Arusha City Council, wanadai faini ya Shilingi 50,000/= au hongo

    Kwa siku chache zilizopita, maafisa wa halmashauri ya jiji wamekuwa wakiwasimamisha madereva na kuwatoza faini kwa kosa la kutumia barabara kinyume na mwelekeo katika barabara hii ya katikati ya jiji la Arusha, kati ya Soko Kuu na barabara ya Sokoine. Kuna alama za STOP kwenye pande zote mbili...
  3. A

    DOKEZO Usumbufu wa ma askari wa Arusha City Council, wanadai faini ya Shilingi 50,000/= au hongo

    Kwa siku chache zilizopita, baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Jiji wamekuwa wakiwasimamisha madereva na kuwatoza faini kwa kosa la kutumia barabara kinyume na mwelekeo, katika barabara hii ya katikati ya Jiji la Arusha, kati ya Soko Kuu na Barabara ya Sokoine. Kuna alama za STOP kwenye pande...
  4. A

    Msaada wa kupata soft copy ya NIDA

    Nimejisajili ofisi za NIDA, Arusha, na ninayo soft copy ya kadi ya NIDA. Nilifuatilia hard copy mara kadha lakini sikufanikiwa. Sasa, tangu karibu miaka mitano nimehamia Dsm. Mi ni daktari na siwezi kuacha wagonjwa wangu nilifuatilie hilo kadi huko Arusha. Nifanyeje? Ahsante
Back
Top Bottom