Recent content by Awaken

  1. Awaken

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Mkuu Walker water kama ujapendenzwa na kinacho endelea hapa nakuomba unaweza kuanzisha uzi upya ili tujifunze zaidi Kuna uzi nyingi sana hapa JF ambazo zinazungumzia mambo ya kuwepo kwa Mungu yupo au hayupo mnaweza kwenda huko kuliko kupoteza maana ya kinachotakiwa kuzungumziwa humu Ahsanteni.
  2. Awaken

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Mkuu Walker water endelea na somo tafhadhal mada ya Mungu hayupo au yupo sio lengo la uzi huu
  3. Awaken

    Hivi binadamu anaweza kuongea na Mungu wake anayemwamini?

    Mkuu nifanyeje ili nickie sauti ya mungu ninae taka kumuabudu kama ilivo kuwa kwako
  4. Awaken

    Muundo wa Binadamu na sifa zake ili kufikia hatma yako

    Mkuu kingine kama utakuwa unaelewa jinsi ya kutoka nje ya mwili yani ( astral projection ) unawez kutuandalia uzi wake au kuelezea hapa machache ili watu tujifunze pale mtu akitoka kwenye mwili wake mwili pale chini bado unabaki kuwa hai?
  5. Awaken

    Muundo wa Binadamu na sifa zake ili kufikia hatma yako

    Mkuu me naitaji uniongoze jinsi ya kuitumia iyo damu ya kuku
  6. Awaken

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu umefanya mambo makubwa sana kwenye uzi huu hakika hatuna cha kukulipa Mungu anatufungua bongo zetu kupitia ww mkuu ubalikiwe sana[emoji120][emoji120]
  7. Awaken

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu somo lako nimelielewa na toka nianze kufatilia masomo yako pamoja na mkuu Walker maisha yangu kuna vitu baadhi vinaniachia huru naweza kupaa tena ndotoni kama mwanzo hakika ukimuomba Mungu kwa imani toka moyoni kila kitu kina funguka hakika Mungu amenionesheni ninyi ili nimjue yeye...
  8. Awaken

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu kama unayo iyo toba unaweza kuniwekea hapa ili niombe mala moja pia kwa faida ya wengine ambao wanaitaji kama mimi please mkuu
  9. Awaken

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ufalme wa nuru mkuu nipe namna ya kufanya please
  10. Awaken

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu nifanyeje sasa ili niweze kabakiwa na iyo nguvu kwakuwa saiz sioti kupaa ni mala moja moja sana msaada kama unaweza kunipa mbinu ni nini nifanye
  11. Awaken

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu asante sana kwa maalifa yako Mkuu mimi uwaga naota ndoto napaa angani hii imekaaje kwenye ulimwengu wa roho afu napaa kama super man msaada tafadhal
  12. Awaken

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu ubalikiwe sana kwa kutuma somo zuri mungu aendelee kuku baliki[emoji120]
  13. Awaken

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu tuelekeze jinsi ya kuomba sala ya toba ili tuweze kumpokea mungu maishani mwetu
Back
Top Bottom