Hoja ni serikali kukaa wanyama nje ya nchi kinyume kabisa na sheria za nchi..
Issue ya idadi si hoja maana HAUWEZI KUBISHANA KUHUSU IDADI YA MARA NGAPI UMEBAKWA,HOJA NI KUBAKWA IWE MARA MOJA AU MARA 7.
Eg. Musa kabla ya kuwakomboa waisrael utumwani ilibidi wamuondoe kwao tena akiwa mtoto mchanga,
Yesu kabla ya kuanza kazi yake alikimbizwa nje ya nchi yake kwanza,nk nk
Unasema sera na msingi iko pale pale wakati NYAKATI zinabadilika ! eg. Huwezi ukaleta sera na misingi ya ujamaa nyakati hizi tukakuelewa maana ata waasisi wa ujamaa China na Urusi wameachana nao.
Pia ni ujinga kufikiri kwamba kukosoa ni kukashifu,au hauelewi maana ya kashfa na kukosoa...
Mbowe amesoma hofu ya CCM juu y katiba mpya na kuielewa hofu na kujua namna ya kudeal nayo.
Viongozi wengi wa CCM wanahofia sana hatima yao na maslahi yao baada ya katiba mpya('ya warioba'),.Anachofanya Mbowe ni kutumia diplomatic plus compromised means ili mambo yafanikiwe.
Ndio maana kuna...
Rubbish,
Unataka kutuambia Chadema wana influence ya kutoa amri kwa polisi kuondoka kwenye lindo!?
Anyway chawa kimaumbile ni mdudu mwenye ubongo mdogo sana
Ungetumia akili kidogo usingeandika hayo.
Kwa kifupi Lissu na akina Chacha wangedhuriwa na watu nje ya mfumo wa seriklini hao watu wangeshakamatwa,ni kwa vile wahusika wako kwenye system ndio maana hawakamatwi.
Na kama wahusika wako Chadema basi kitu gani kinashindikana kuwakamata?
Kama...
Ujinga ni mzigo walioturithisha waarabu.
Aliekudnganya uchanganye uarabu na uislam ni taahira,hujui kuwa kuna waarabu wakristo!?
Kukaa kimya ni kuficha ujinga
Tuone sasa!
with or without laws tutamshughulikia,ikibidi ata uchawi utahusika...mwepesi tu lazima tumshughulikie ata akikimbia nje ya nchi.
Ukiishi kwa upanga,utakufa kwa upanga...it's a law of nature,her days are numbered.
She is not alone,kuna watu wengine wako nae.
Anahusika pia na kilichomtokea Lissu Dodoma.
Huyu dada anajulikana anakokaa ni Tabata na wazazi wake wanajulikana,tuanze na huyu pamoja na family yake with or without laws...enough is enough!
Kuna effect gani akivuka?
Tuache mazoea,wafadhili wmemkaba koo mama hana namna kila kitu kitawekwa wazi na wahusika watashughulikiwa ikiwa pamoja na Makonda anartuhumiwa wazi na marekani kuwa ni muuaji na mvuruga democracy,it's a matter of time
Wakati wa kugombea urais serikali uwa inashiriki kuhakikisha usalama wa wagombea
Pia dunia yote macho yalielekea kwenye kuona uchaguzi unavyoendelea,ivyo wale wahuni wasingeweza kumdhuru ktk mazingira hayo maana dunia nzima ilikuwa ina-monitor kinachoendelea kwenye kampeni.
Baada ya kampeni...
Magufuli kuwa na nguvu!
Haijawahi tokea kwa maiti iliyooza ikawa na nguvu,huu ni ujinga.
Magufuli kafa,kazikwa na ameoza tayari...tafuta channels zingine.
Watu wanashindwa kuelewa kuwa kuna misemo ilifanyiwa research na kuonekana ina ukweli 100%....eg:
...what goes around comes around,
...What u don't wish to be done on u don't do it to others for karma is really existing.
Diwani isn't exceptional.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.