Me jana yamenikuta ila nliwashtukia,jamaa kanipigia simu anaitwa emanuel john anajida hr barick goldmine anadai nimtumie vyeti vyangu soft copy na nimtumie pesa ya maji ya kunywa,nikamwambia ela sina akitaka anipe kaz then ntampa nikipata mshahara,akakata baada ya muda nikapigiwa na mtu mwingine...