Recent content by auntci

  1. A

    Kunani kazi za zoomtanzania?

    mimi nimepata kaz kupitia zoom niliaply katika matangazo yao na hata miezi miwili haikupita nikaitwa na hiyo company husika kwenye interview na kaz nimepata.
  2. A

    Tumbo kubwa..nilipunguze vipi? kwa njia ya vyakula lakini

    nashukuru na mimi ni muhanga pia ila msaada wenu please asubuhi naweza kula vyakula gani na mchana maana kwa maisha yetu ya kibongo vinavyo tuzunguka ni vilevile chapati maandaz n.k
  3. A

  4. A

    Je, kutuma maombi ya kazi namna hii ni sahihi?

    Habari wadau nashukuru pia nimepata majibu kupitia swali hilo la mdau,naomba pia mnisaidie juu ya hili ,kwa mfano company imetangaza nafasi za kazi mbali mbali katika hizo nikaona nafasi zaidi ya moja nina sifa je naweza nikaomba zaidi ya moja? yaan kwa kuandika barua kwa kila moja naombeni...
Back
Top Bottom