Recent content by Aunt M

  1. A

    Michezo utotoni

    Makida makida, kitenesi, sare pooo...
  2. A

    Nimsaidieje rafiki yangu? Akipata mshahara wote anampa mwanamke

    Muache ampe na wewe tafuta wakukupa
  3. A

    Ni chakula gani ulikuwa hukipendi ulipokuwa mtoto?

    Kabichi kwakweli nilikua silipendi, sister alikua ananilazimisha na kuniambia " Kula na umalize halafu nenda katapike palee mi ntasafisha" nilikua nachukia, ila ulikuwa utoto sahivi nakula bila mawazo.
  4. A

    Je Unakumbuka Ulimpataje/Mlikutanaje na Mpenzi/mke/mme wako?

    Mi nlikutana nae chuoni na ndio mtarajiwa wangu Mungu akipenda.
Back
Top Bottom