Recent content by Aunt Catherine

  1. Aunt Catherine

    Msaada na Ushauri: Biashara gani sio risky kati ya duka la pembejeo na pharmacy?

    Ubarikiwe Sanaa nduguyngu umeniongezea kitu kichwani[emoji120]
  2. Aunt Catherine

    Msaada na Ushauri: Biashara gani sio risky kati ya duka la pembejeo na pharmacy?

    Ndugu zangu naomba ushauri wa biashara ipi Haina risky sana kati ya hizo mbili (pembejeo na pharmacy) nmemalza chuo na mtaji kama wa million tatu napenda kufanya biashara ya pharmacy au duka la pembejeo lakini elimu yangu ni engineering kwa maana hiyo sipo vzur Sana na elimu ya hvo vtu viwili...
Back
Top Bottom