Mhe.rais naomba msaada wako tafadhali nakuomba uniwezeshe kikao na mgodi wa BARRICK NORTH MARA Ili wanilipe pesa zangu nimemtumia pesa na nguvu zangu kutafuta haki yangu kwanzia ngazi ya chini imeshindikana mhe.Rais kweli tokea wanifanyie tadhimini mwaka 2013 paka Leo mgodi unakuwa jeuri
Je...
OMBI LA KUONANA NA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU MADAI DHIDI YA BARRICK NORTH MARA & NORTH MARA GOLD MINE
Mheshimiwa Rais ninaomba kwa unyenyekevu nikutane na kukuelezea kibinafsi mateso yangu makubwa yanayosababishwa na Kampuni ya Barrick North Mara na North Mara Gold Mine.
Madai...
Habari ndugu watanzania,
Naiomba serikali yangu tukufu iliangalie hili jambo ambalo mgodi wa barrick north Mara unatangaza wazi wazi kuiweka mahakama ya tanzania na serikali mfukoni kwamba najisumbua kwenye swala langu ambalo mwaka 2013 walinifanyia tathimini na 2023 nilifanya makumbaliano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.