Naomba namba ya Emergency TANESCO Ilala, hii 0715768589 haipatikani. Nilipewa namba hii kutokea 0784768586 ambako niliuzia sababu ya kukatika kwa umeme nikaambiwa nipege kwenye hiyo namba ambayo haipatikani
Kwa nini tatizo lisishughulikiwe kwa ujumla wake wakati linawahusu watu wengi. Kwa nini mteja kwa mteja. Mbezi hawataki kwenda kufanya survey wakati watu wameshalipa ? Kisa hawana usafiri. Watu wako tayari kutumia usafiri binafsi hata kwa kuchanga, wanasema hairuhusiwi. Fungeni ofisi basi tujue...
Jamani wanajamvi hebu niambieni, kuna mtu yeyote ambaye tatizo lake limetatuliwa kwa kuandika kwenye thread hii ? Nimeandika kuhusu TANESCO Mbezi, badala ya kufuatilia limefutwa, je TANESCO wanufurahia uzembe wa ofisi yao ya Mbezi ? Wanataka Raisi atatue matatizo mangapi ? Kama mnataka kila...
Kwa maana nyingine TANESCO kwa makusudi, hawataki kutekeleza maagizo yanSerikali wakati uwezekano wa kutekeleza upo. Mheshimiwa Waziri Kalemani unaliona hili. Jinsi TANESCO wanavyokupuuza, kwa kupuuza maagizo yako ?
TANESCO Makao makuu wafuatilie mwenendo wa maofisa wao walioko kwenye tawi lao la Mbezi, kutokana na huduma zisizodhirisha za ofisi hiyo.
Kuna wateja ambao wameshalipia kuwekewa umeme kwa zaidi ya miezi sita lakini hata survey haijafanyika. Kila wanapofuatilia kufanyiwa survey wanaambiwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.