Habari, jaman nauza kiwanja, ipo mkoa wa Geita, mtaa wa nyankumbu. Kina ukubwa wa sqm500 na kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, seble, dinning na jiko. Bei ni 1.7m
Mawasiliano 0783133121
Habari, jaman nauza kiwanja, ipo mkoa wa Geita, mtaa wa nyankumbu mtaa wa mwabasabi. Kina ukubwa wa sqm500 na kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning na jiko. Bei ni 2m
Mawasiliano 0763017179/0783133121. Nguzo ya umeme hapohapo.
Habari wadau.
Tafadhali naomba msaada wa ni wapi naweza pata vifungashio au kwa lugha ya take away za glass kwa bei ya jumla ambazo ni imara kidogo za kuuzia juice.
Note: sio vile vifungashio vya ubuyu n.k. maana ni vilaini sana. Ukitumia mara mbili kwisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.