Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima,
Samahani mimi nahitaji kujua na kupata ushauri pia kwa wazoefu wa biashara sana sana katika zao la karanga.
1.Njia nzuri ni ipi kwa mfano ukiwa na mtaji wa 5mil na ukaamua kulima karanga au ukiwa na mtaji wa 5mil na ukaamua kununua kusubiri wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.