Recent content by atufie

  1. A

    JamiiForums Tanzania Huenda shirika la kazi duniani na shirika la haki za binadamu wakajitosa sakata watumishi 9932

    Humu kuna watu wamekubwa na hilo na wanajaribu kutafuta namna ya kujinasua kwa kutaka ushauri wa hoja zetu na kama kweli wapo humu hatuna cha zaidi kama ulijua umefoji vyeti na unalipwa msharaha wa wizi na hujipangi kwamba kikinuka ufanyeje basi tafuta nyumbani kwenu wapi nenda kalime tu maana...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo Vikuu binafsi 2020 tusimpigie kura kiongozi anayedharau vyuo vyetu

    Sikupata mda wa kumsikiliza lkn kama kweli kasema hivo amedharau sana sekta binafsi na cha zaidi hao wanafunzi wanapelekwa na TCU sio kwamba wanaenda kule kwa sababu hawajiwezi hapana.. Mbona wanafunzi wengi toka vyuo vya serikali mfano fani ya ualimu hawajui hata kuandaa lesson plan na scheme...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo Vikuu binafsi 2020 tusimpigie kura kiongozi anayedharau vyuo vyetu

    Hivi hiyo kauli yako unaweza kuithibitisha?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yaajiri walimu 3,081 kupunguza uhaba wa walimu wa sayansi, sanaa ina ziada ya walimu 7,463

    Jana tu wametoa tangazo la nafasi za masomo ya ngazi ya cheti na shahada na ktk hilo tangazo bado wanaitaji na walimu wa sanaa.. Kwann serikali hii isifute kabisa masomo ya ualimu wa masomo ya sanaa haya maana hayana faida kwa sasa wamezalisha wataalam wengi hadi wa ziada sasa na bado...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yaajiri walimu 3,081 kupunguza uhaba wa walimu wa sayansi, sanaa ina ziada ya walimu 7,463

    Walisema walimu wa Sanaa wapo wa ziada sasa mbona kuna wengine waliosoma masomo ya sanaa wameajiliwa ukiangalia peji ya mwisho na ni majina matatu 3 ya mwisho
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ninafundisha Programming , Website and Database

    Tuliopo mikoani huku vp
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakubali kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia upungufu wa Madaktari

    Duh! hili sasa mbona sielewi mm nilifikili hata sisi tunataka madakitari kumbe wapo wengi sana.. lkn mbona hospital zetu hazina hao madakitari?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Arusha: Lissu ang'ara, asanteni Waziri Mwakyembe na Serikali nzima

    Pamoja na hilo.. lkn mm nachukia sana mtu kukata tamaa mapema hivo matokeo bado nafikili ww sio mwanachama wa chama cha mapinduzi
Back
Top Bottom