Recent content by atu able

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

    Kanchokoza mwenyewe.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

    Malengo tena!!! Shabaash! Alafu ckujua ka huwa kunaitishwa roll call humu ndan?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu

    Twambie
  4. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za urais wa Tanzania hizi hapa

    Ukimchunguza sana bata, hakika huwezi kumla. Ingekua siri (kama wengine wanavyofanya waonekane wasafi) asingekubal kupigwa picha. Mzee n mtendaj, wadhaifu wametuchosha mpen kura awafungie kazi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

    Ntake Radhi, afu Excel gan haijuh hesabu hebu fafanua jibu lako kabla cjappeal!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

    Inahuu? Chukua ushaur mengne hayakuhusu. Otherwse jibu ni A.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini elimu inaonekana haina thamani kama zamani?

    Utandawazi ndugu! Hata vitu vilivyoonekana vya thaman enzi hizo havina thaman tena. Mf. Nyumba nzur wakat huo, magar, nakumbuka miaka ya tisini tukiwa na cmu ya mezan kwetu (ya waya) nlkua naringa sana naona n kitu cha pekee! Same applies to education Qualifications itafikia hatua kila nyumba...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Siasa katika elimu au nini maana yake?

    Vyuo viko kibiashara zaidi (kozi nying raia weng) na vijana wanaomaliza form six weng hawatafuti ushaur! Na ukishachaguliwa kozi fulan ndo bas USUMBUFU wa kubadilisha hawatak unless unahamia EDUCATION! La msing kuwen makin juu ya uchaguzi wa kp unatakisoma kabla ya kuapply.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

    Ambao mlikua hamsomi kazi kwenu! Niwakumbushe tuu kua tabia ya KUZIMA MOTO c nzur! Papara unaeza jikuta unazimia mafuta ya taa badala ya Maj! Otherwse, wish U all the best.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kufunguliwa mwezi january 2014

    Yataka moyo, poleni wadogo zangu.
Back
Top Bottom