Hapa shida ilipotokea sio coins wala
Kuna kipindi simulizi ilikua bure tulisoma
Ikapelekwa Grupuni kwa wasio na subira ya muendelezo ili waende na kasi yao,Lakini wa bure waliendelea kuburudika hvo hvo pia...mpk leo imehamia fasihinet. Watu wa bure bado walifunguliwa vipande ss ghafla kawatenga...
Ila wabongo😅😅
Mmepewa link kbs ya kujimiminia venye mnataka lakn bado mnaweka MB za 2000 kuja kusoma kipande kimoja wakt ukilipia tokeni hyo 2000 unasoma mpk ujichokee 🙌🙌
Kuna siku JC alionyesha picha za familia yao apo kwa kina Mimi wakt wanaangalia Bi Jamila alipomuona Mamaake JC alipatwa na mshangao na huzuni kwa pamoja ni km Bi Jamila na mamaake JC wanahistoria flan labda walisheaga ata mabwana huko
Kikubwa uhai haya mengine tutayajua mbeleni
Hope wote mko poa kijana wenu naomba connection ya kupata pikipiki ya mkataba
Makazi yangu ni Kisongo Arusha
Namba yangu 0738527799
Ninauzoefu wa miaka mitatu kuendesha pikipiki na miaka miwili kuendesha gari
Wangapi walikua wanasoma huku wanamwambia jamaa aache asiendelee
Hahah mwanangu Elton unajua tukupe maua yako
Sema Mamu alishasema anapenda simu km ya Da Nuru huu ndo muda wa kumzawaidia ss ili atutolee jamu kwa Mimi
Siku analiwa Mimi nitakaa na Vaseline pembeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.