Recent content by attack80

  1. A

    NBAA Aibu, asilimia 84 wafeli

    wabongo tunakariri na CPA hawataki kukariri wanataka kupata Mamenager ambao wataleta manufaa kwenye taasisi Mtu unaulizwa Function za Interna Auditor General ni nini? wewe unaanza kukariri badala ya kutoa self explanational za kitaaluma then wewe unaanza kukariri kwa Mfano MA maswali yanahitaji...
  2. A

    Naomba kuuliza ili mtu aitwe doctor kama dk SLAA ,dk Harison ana ngazi gani kielimu

    yeah yeah, Jamani tuwe waelewa Vyuo vikuu vinapoanzishwa huwa wanakipengere kinachohusiana na kutoa Degree za heshima kama jukumu lao hata bibi yake Obama alipewa Degree ya heshima. Ila wabongo tunapenda misifa ya kipuuzi sana uanapopewa hizo si za kutangaza ni zakwenda kuweka kama pambo...
  3. A

    CPA(T) v/s MASTERS

    Anayesma CPA (T) ni Uchafu huyo imemshinda na Tunashaka na uzalendo wake kabisa Hata Multnational zilizopo Tanzania wakitangaza nafasi za Finance wanataja ACCA,CIA na CPA(T) leo hii anatuambia nini kama umekosa cha kuongea bora ujinyamazie kuliko kulopoka kwenye mtandao mwezako anaomba ushauri...
  4. A

    CPA(T) v/s MASTERS

    hi, members Masters za kibongo ni uzushi tu tunawaona makazini weupe kinoma CPA kwa kweli bado wamemaintain stustas yao mtu mwenye CPA tofauti kabisa na mwenye masters
Back
Top Bottom