Recent content by Atn

  1. A

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Hapana,usaili huja kulingana na mitaala ya sasa Tangu 2015 mitaala imebadilika mara tatu hivi Je huyo wa 2015 kupitia wapi Pia gharama za safari nk mtaji mkubwa unapotea na wanarudi zero na kazi hawana Pia Rushwa Rushwa Rushwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Umeonge ukweli Maana wenye GPA kubwa sio kuwa ndio wanaweza kufanya mwanafunzi afaulu Changamoto kazini nyingi mno toka kwa jamii na wazazi na wanafunzi Na anayeamini katika GPA yupo mjini hajatembea Mfano apewe shule moja ndani ndani huko,atende tuone GPA yake inafanyaje muujiza
  3. A

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Ubovu sio walimu Ubovu mfumo Mfano interview mwalimu wenye GPA sawa 2015 na 2023 Huyu wa 2023 odds za kushinda ni uhakika maana bado vitu vipo moto kichwani Pia mfumo wa elimu yetu ukiangalia udhaifu wa mitaala
  4. A

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Kabisa ,ukitaka kujua ni chawa,umeona alivyonijia juu Ana hasira kama ana hisa Dstv
  5. A

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Wengi wanajua Dstv ni alfa na omega kwa mpira Afrika Kumbe na wengine Zaidi wapo.watu wakija jua Dstv atafunga hesabu Ndio maana nimesema Sababu walizoziweka ni za kutudanganya Ila ukweli wanajua Ni mapinduzi ya teknolojia
  6. A

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Hizo sababu za kupoteza wateja ni uongo wameogopa wakiongea ukweli, watu watataka kujua zaidi kuhusu huo ukweli. Ni hivi, teknolojia imesababisha wao kupoteza wateja kwa namna zifuatazo Watu wanatumia smarttv kustream mechi, japo TV nyingi zinakuja na lock kwenye playstore ili usidownload apk...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Sasa Kama unajua uchoyo wa nini? Wape watu hapa nao wafaidi
  8. A

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Humu wapo pia chawa ,unakuta mtu anapewa buku la fegi ili akuharbie, si ndio hao huzunguka kukagua cable mjini, Oky,ngoja niandike ukweli wote hapa
  9. A

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Humu wapo pia chawa, unakuta mtu anapewa buku la fegi ili akuharibie, si ndio hao huzunguka kukagua cable mjini.
  10. A

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Eee eeeee tena naelimisha watu free, nina miaka 8 sijawahi tumia Dstv na nikitakacho napata
Back
Top Bottom