Kwanini wanafunzi wanaotuma maombi kujiunga na vyuo vikuu ambao hawajafaham vizuri kozi zinazotolewa na vyuo husika, wanatakiwa kulipa kwanza hela kabla yakuchagua kozi!!!
Kitu ambacho kinawalazim wachague kozi wasizozipenda kwakuwa pesa hairudi.
Usipolipa huwezi kuona hatua inayofuata...
Elimu rafiki, huu ni mfumo wa utoaji maarifa kwa jamii au mwanafunzi yanayo shabihiana na mazingira katika kutenda na kukabiliana na hali halisi katika mazingira hayo. Upatikanaji wa elimu rafiki katika taifa letu imekuwa changamoto kubwa, nahii pengine ni kwasababu ya kile kinacho tajwa kama...
Katika mfumo bora wa uongozi na uendeshaji wa mamlaka utawala bora ni muhimu kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na huduma sawa na zenye tija.
Katika taifa letu wimbi la uongozi m bovu katika ngazi za chini za utawala limekuwa kubwa na hii pengine ni kutokana na serikali kutofuatilia mienendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.