Asallamu allaykumu makamanda was cdm mimi kama mimi nlishaapa hatakuja kutokea hata siku moja nkaiunga ccm hata siku moja naichukiaa sana nasema ukwerii kabisaa hii ni kauli ya mkuu moja anaitoaga nami nasema ukwerii kabisa haitakuja kutokea Niko radhi nisijihusishe na siasa Hawa ni zaidi kansa.
Makamanda cdm ni chama cha wasomi kiukweli wanajua kuchanganya karata maana serikali wameteseka sana ukuta kila kukicha ni matako nchi ya kuongozwa na matamko mpaka sasa chadema wamefanikiwa kwa % 100 mkuu mawazo ya viongozi wote ni ukuta walishindwa kuhudumia wananchi kisa ukuta bana nawatakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.