Naomba kueleweka wadau sijakataa adhabu kutolewa lakini hapa suala ni ukubwa wa adhabu na jinsi ilivyotolewa kwa watahiniwa. Kwanza zingatia shule haina uzio halafu kuambiwa uujenge je, si uonevu huo?
pili walioitwa wazazi hawakupewa nafasi kusikilizwa maoni yao isipokuwa kuambiwa fuata...
JINA LA SHULE: KAJUNGUTI SECONDARY SCHOOL IPO WILAYA YA KARAGWE MKOANI KAGERA.
Naomba kueleweka nazungumzia ukubwa wa adhabu na kutosikiliza maoni wazazi baada ya kuitwa.
Hii imetokea jana tar.11/11/2019 wakati wa mtihani wa taifa wa kidato cha nne ktk shule moja ya sekondari Wilayani Karagwe Kagera.
Wadau saidia na naomba maoni katika hili:
Wanafunzi wa kidato cha nne jana walibainika kuwa nje ya eneo la shule takribani nusu kilomita kutoka shuleni wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.