Recent content by Ate

  1. A

    Umoja wa Vijana wa matajiri vs Umoja wa vijana masikini - Paul Makonda anasimamia wapi?

    Huyo analipa fadhila za kusaidiwa kupelekwa shule na mwenyekiti bunge la katiba. anatumika pasipo kujua
  2. A

    Freeman Mbowe ahaha kuokoa Jahazi la CHADEMA Lisizame

    Pole saana sijui wewe unalipwa na nani?
  3. A

    Tovuti ya tume ya mabadiliko ya katiba kufutwa

    Naomba kujuzwa ni wapi nyaraka zilizofanyiwa kazi na tume ya mabadiliko ya katiba zimeifadhiwa kama kwenye mtandao zimefutwa. Hii inashangaza wakati watanzania wengi tunazihitaji kwa ajili ya rejea
  4. A

    Kinachoifanya CHADEMA ipoteze mvuto na ushawishi kwa wananchi hiki hapa

    Kuna watu wengi mnaopenda kujitoa fahamu. jinsi ulivyoandika inaonekana kabisa akili unayo lkn umeamua kujitoa akili kwa maslahi ya wachache.
  5. A

    Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

    Na wewe ni kabila gani? Karne hii bado tunaongelea ukabila? Na inaonekana hakuna point uliyotoka nayo isipokuwa ukabila. Watanzania kazi bado tunayo.
  6. A

    UN yaikana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadharani, Hati ya Muungano haiko UN

    Si wazanzibari pekee bali na watanganyika wanapaswa kufikiria waliungana na nani?
Back
Top Bottom