ccm haijafa bwana hapo ndio tunajidanganya alafu tunajisahau. Rais wao, jeshi lao, mwanasheria mkuu wao, tanesco yao. Sasa imekufa wapi? Tatizo kuna baadhi ya wabunge wa upinzani sisadiki wana msimamo wa kweli? Wengine baadae wananunuliwa mifano si ipoo. Big up anna kilango, ole sendeka,watoto...