Hii rabuda inaweza ikawa njia nzuri Sana kusikika kuliko tunavyojaribu kudai haki kwa maaandammano. Bahati nzuri mwimbaji aliwahi kuwa Mwanasiasa CHADEMA, NCCR MAGEUZI na CCM kabla hajaacha Siasa rasmi.
https://youtu.be/DTSA0cQ6Xxk?si=aYZ8VP9NHdHoxlI_
UPOTOSHAJI WA MALISA GJ NI WA KUPUUZWA, SINA MPANGO WA KUDAI FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI, MIMI SINA DHIKI YA KISIASA MPAKA NIDAI FIDIA, NINAJITOSHELEZA NA SIASA ZENU NIMEWAA CHIA.
Bwana Malisa ameandika waraka wa uongo mwanzo mwisho juu yangu CIVILIAN COIN ambaye yeye kanitambulisha Kama...
Baada ya upotoshaji mwingi wa je ni kweli Bwana Civilian Coin ameachiwa na Mahakama au kamaliza kifungo, meza yetu imepambana mpaka ikapata nyaraka kutoka kwa wadau wetu. Kama hapa zinavyosomeka na je alifungwa kwa jinagani Deogratius Kisandu au Civilian Coin, majibu yote ni hapa jf.
Kwanza taar
Ikwanza taarifa ya Malisa ni ya kubuni imejaa uongo mwingi na ukweliq kidogo Sana. Kesi ya kwanza alifungwa miaka 3nasio 2, Pia kesi ya pili aliyetuhumiwa kumwita mchawi Ni mama yàke mzazi Bi. Laurencia Tundule na ndiye aliye mfunga japo kwasasa wako pamoja nyumbani kwao Kahama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.