Recent content by astronaut Edward

  1. A

    JamiiForums Tanzania Acsee 2013 results

    kadri yanavyozidi kuchelewa pressure ndo zinazidi kupanda bora wayaachie tu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    physics tena?? we jamaa kwel hujipendi
  3. A

    JamiiForums Tanzania pharmacist

    mm ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu nilichukua PCB nasubiria majibu, ndoto zangu ni kuwa doctor lakin nimezungumza na baadhi ya watu wanadai udaktari mgumu Afadhal ufamasia, so mnaweza mkanijuza famasia kazi yake ni nini? mm ninachojua ni kuuza dawa tu
  4. A

    JamiiForums Tanzania nimempenda kanisani

  5. A

    JamiiForums Tanzania nimempenda kanisani

    Kwa umri huo umempenda ili iweje/ kwani umri sahihi wa kuanza kudate ni umri gani?
  6. A

    JamiiForums Tanzania nimempenda kanisani

    mimi ni kijana wa miaka 20 nimempenda msichana mmoja kanisani, na naamini nimempenda kutokana hata nikiwa nyumbani huwa sura yake inanijia, tatizo sijui nitamwanzaje kanisani pale na muda wote saa ya kutoka nikimsubiri huwaga na mama yake nahisi hawaachani, mnanishauri nifanye nini maana sijui...
Back
Top Bottom