Recent content by astig

  1. astig

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hiko hapo
  2. astig

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Basi kitafute, kuna mtu alinishauri nikisome baada ya kumuambia shida yangu kuhusu jirani yangu mmoja ambaye tulikuwa tukigombana nae kila siku. Baada ya kukisoma si tu sasa najua jinsi ya kuishi nae bali nimegundua hata jinsi ya kumhandle mwenza wangu na hata jinsi ya kuishi bila shida na boss...
  3. astig

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Vp Paula umemsoma Joe Navarro ktk kazi yake ya Dangerous personalities? Aisee kinafaa sana kuwajua watu hatari wanaotuzunguka.
  4. astig

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nimepitia uzi wote cimment kama 10,090 sikuuona. Mkuu KIOO kama unao nifanyie hisani
  5. astig

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Brother IDIMI tafadhali nitafutie wimbo wa miss Sara( yule alikuwa akifanya sana collabo na Cas T) siukumbuki jina lake ila kwenye chorus anaimba "Nikwite jina gani mpenzi, ujue nakupenda" Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
  6. astig

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Usijali.
  7. astig

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Anza na hivyo vya psychology
  8. astig

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    I wish ningekutumia salio brother. Daaah asante sana. Umenipatia nyimbo mbili nilizokuwa nazitafuta kinyama. Sante kaka[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
  9. astig

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba nitafutie wimbo wa Ray C FT Mr Blue unaitwa "nilipokutana nae" Uko kwenye albamu ya Na wewe milele. Pia nitafutie wimbo wa "baba mkwe" uliimbwa na Papy Kocha akiwa TOT Plus Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
  10. astig

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante. Asante sana.
  11. astig

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante sana bro. Heshima kwako.
  12. astig

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Bro na mimi nitafutie wimbo wa segerea ulioimbwa na TBT CREW. Pia kama utaupata wa Ally Choki na Ndanda Kossovo Bea wangu Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
  13. astig

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Bro na mimi wimbo wa segerea ulioimbwa na TBT CREW. Pia kama utaupata wa Ally Choki na Ndanda Kossovo Bea wangu Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
  14. astig

    JamiiForums Tanzania Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Mkuu Roga Roga kazi unayoifanya ni ya utumishi wa umma. I appreciate bro. Nitafutie 1. Caterpillar- KM Echelon 2. Beya wangu- Ndanda Cossovo feat Ally Choki 3. Baba mkwe- Papy Kocha akiwa TOT Sent using Jamii Forums mobile app
  15. astig

    JamiiForums Tanzania Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Mshamba ni wewe unayejiita jina la mwanaume mwenzio bila aibu. Wapi nimesema kwetu Biharamulo? Unajisifia Kilimanjaro imeendelea utadhani umetembea Tz nzima. Kuna maeneo yapo vizuri sana ila huwezi kusikia wakijisifu. Yapo maeneo ya hovyo sana Moshi kama Kiboriloni, Pasua na kwingineko ambapo...
Back
Top Bottom