Recent content by Assistant Professor

  1. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosea kuteua wapinzani bila kufanya "A" au "B"

    Good analysis, though, apparently, I'm worried so much about the political relevance of ACT-Wazalendo on the Tanzania's political landscape. The appointment of Prof. Kitila Mkumbo and Ms. Anna Mghwira into various government positions is too controversial to say the least!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Dalili kuu za kufeli kwa Rais Magufuli

    Siwezi kusema kwa hakika kama Rais Magufuli atashindwa. Siwezi pia kujiaminisha kuwa atafanikiwa. Yote mawili (kushindwa au kufaulu) yanahitaji muda uamue. Hata hivyo, kama muda utaamua kuwa ameshindwa kuliongoza Taifa kwa mafanikio katika nyanja za kiuchumi, kijamii, kidplomasia nk. kundi la...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Makinikia: Je, Vyombo Vya Habari Vifukue Makaburi ya Chanzo, Au Kushangalia Tuu Matokeo?.Jicho Letu.

    Vyombo vya habari huru na vyenye weledi stahiki katika tasnia ya habari vinayo dhima kuu, si tu katika sakata la makinikia, bali katika nyanja nyingine zote katika jamii. Swali ni je, vyombo vya habari viko huru? (uhuru wenye uwajibikaji na siyo uhuru usio na mipaka). Kwa maoni yangu, vyombo vya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni hazina kwa taifa, upungufu wake ni huu

    Ukimuondolea au yeye mwenyewe akijiondolea huo ulio uita 'udhaifu' wa Tundu A.M. Lissu, utakuwa na mtu mwingine tofauti na wakili msomi Tundu A.M. Lissu. Haiba ya mtu ni pamoja na udhaifu wake!
Back
Top Bottom