Recent content by asnath98

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, Simba wataweza kuvuka makundi?

    Roho inaniuma jamani ila hasira zetu tutammalizia azam ngoja tuone
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mnaoangalia mpira mnapata ladha gani?

    KE
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mnaoangalia mpira mnapata ladha gani?

    Jamanii hivi mnaoangalia boli(mpira) mnapata ladha gani kila nikijtahidi naona sielewii yani?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Pesa imekuwa ngumu

    nilitaka mreact tuh
  5. A

    JamiiForums Tanzania Pesa imekuwa ngumu

    jamanii hivi napataje ela bila kufanya kazi ? kama kuna kuna njia mnipange na mimi nitusue
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamanii sijui kwanini roho inanambia nimbetie Man United hiyo tarehe 14 😂.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamanii dabi ya Wikiendii hii ya man u na man city nimpe nani? maana tokea nianze kubeti kushinda nasikia kwa wengine?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani derby ya Man U na Man City nimuweke ela Nani? Nisije nikaumbuka
Back
Top Bottom