Recent content by Aslan Hatun

 1. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Mkuu kwangu hayupo niliacha ameondoka na kwa taarifa nilizokua nasikia ni kwamba yupo kwa wachungaji wake alafu mm nimesafiri kikazi
 2. A

  Binti mwenye mwandiko Bora duniani

  Binti yangu alieko darasa la tatu anaandika vzr lkn huyu amemzidi nampongeza kwa dhati kabisa, na ninashukuru mwanangu wa kike anaandika mwandiko uliosimama alafu wa kiume nitahakikisha anafanya vzr kwenye mwandiko na jembe langu pia baada ya machungu ninayopitia
 3. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Bro kwa Sasa acha tu waende wakikua watakuja kama kuna mjomba wao anakili timamu basi atawarudisha maana Dada yake kazaa Kijiji alafu hakuna future nilikua nabebeshwa mizingo mingine mara unakomaliwa mtafutie kazi huyu wa darasa la saba acha waende aiseee
 4. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Dodoma leo: huyu kwangu keshatoka na atasepa tuu, nisikufiche iwe nilichepuka akajua au hakujua kuniletea DAMU YA UKOO MWINGINE KWANGU NA KUTAKA MM NILEE ALAFU BAADAE UNIGEUKE UIPELEKE ULIKOITOA BORA HIZO PESA NIWAPELEKE WATOTO WANGU MAPUMZIKONI HUKO mikumi national park au tarangire Nimelea...
 5. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Sijawahi na Wala ckuwahi kufikiria kutokana na migogoro ambayo nimekua nikishuhudia Na hata yy mwenyewe alikua akinambia ni bora uchepuke lkn sio kuzaa nje ya ndo huyo mtoto cku ukimleta kwangu namwagia maji ya moto bora nikafungwe lkn sio wewe kuleta mtoto hapa kwangu, sitakubali kile...
 6. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Sawa asante Nawashukuru wadau wote kwa ushauri mlionipa, na kwa wale mliotoa ushauri kua nisamehe na kwa jinsi mlivyowasilisha nimewaelewa ( ILA MMENIFANYA NISEME HIVI KAMA HAMTOJALI NITALETA MKASA MZIMA KUANZIA NAKUTANA NA HUYU BINTI NILIYOMVUMILIA AMBAYO BADO YANAFANANA NA HILI NA PENGINE...
 7. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Nakuelewa Dada ila kwa Sasa nikikumbuka tulikotoka na jinsi niliswaga ng'ombe kwenda kwao na jinsi niko napambana kwa ajili yake, na nimekua nikimwambia yy ndie ndugu yangu japo ninao ndugu kibao niliozaliwa nao namwambia tulia uhakikishe wanao wanapata elimu bora na mazingira mazuri ya maisha...
 8. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Hapana mkuu nimemuwezesha kwa jinsi alivyoomba na Sasa Yuko huko kwa wachungaji wake sijui baba wa kiroho wake anajishauri aanzie wapi maana kwenda kwao ni mtihani maana anaujua mziki wa kwao kwa maana ya life la pale, kwa mzinzi mwenzake ndo cjui anawaza nn Ila nimepiga makufuri mapya yote...
 9. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Mkuu umeandika mengi na mazuri Sana Jamii yangu Niko nayo vzr Sana Kuhusu kujisimamia najisimamia vyema Sana, hua sipendi Shari na wife wangu labda itokee bahati mbaya Sina mengi mkuu yakuandika
 10. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Pole Sana mkuu japo cjajua upo ktk hali gani
 11. A

  Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

  Mkuu mm ni mtumishi ktk MOJA ya taasisi yenye jukumu la kudhibiti ubora wa bidhaa zinazoingia na kuzalishwa nchini pesa ya kubadili mboga na kusomesha watoto shule nzuri na kuwapa mahitaji yote wanayohitaji siwezi kukosa, hata mwaka huu nilipanga kumnunulia wife ka usafiri ili akiwa anaenda...
Top Bottom