Recent content by Asili wa asili

  1. Asili wa asili

    JamiiForums Tanzania Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

    Ongea nae muyaweke sawa kitu mapenzi na mhisiano kwa ujumla yana milima na mabonde...So kijana piga moyo konde mweeeh muyamalize. Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  2. Asili wa asili

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Nilishawahi kusikia japo sikulifuatilia passport sheria inasema ukifika miaka 18 kama mtanzania una haki ya kupata ...passport sasa hizi mambo zingine wanaibuaga kutoka wapi??
  3. Asili wa asili

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Haya mambo ndo tunayataka jamani...lol bora yameletwa hapa ..kama mimi wapendwa natafuta fursa ya kujilipua Sweden ndani ya huu mwaka
Back
Top Bottom