Ila nashangaa Sana babu zetu walioa wake wengi kwetu sisi ikawa ni kawaida wazungu wakapinga wakasema sio haki.Lakini Leo wao wanatuletea ndoa za jinsia moja hafu wanaziita ni haki za binadamu.Ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya filauni
Ila mi nashangaa Sana hivi kweli mapenzi ya jinsia moja ni haki ya binadamu.Sio haki ni ujinga tu Kwa mfano mbuzi wa jinsia moja wakipandana ni kawaida?.kama sio kawaida Kwa sisi wanadamu iwe kawaida kama sio ugonjwa wa akili huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.