Recent content by Asiejulikana

  1. Asiejulikana

    Nvidia Quadro 600 for sale

    Mbagala
  2. Asiejulikana

    Nvidia Quadro 600 for sale

    Desktop Graphics Card Kwa 3D Designing & Gaming Memory 1GB Vram Ddr3 DVI & Display port Ina uwezo wa kucheza Modern Games kwa low settings (Tested on i5 2400 8GB Ram) GTA V, FIFA 18,19, PES 19,18, GHOST RECON, ASSASSINS CREED, FAR CRY, WATCHDOGS, SLEEPING DOGS, NFS etc Price 80,000 tu...
  3. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Nimeingia kama napiga windows then nikaingia Bios Setup...Natumia Dell Optiplex
  4. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Chief naingia ktk Bios naona black screen tu...nini shida hapa
  5. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Device Manager nimeangalia ina display only intel...ngoja nijaribu ku enable on bios
  6. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Wataalam Nimefunga vifaa vyangu sawa...ila nikichomeka cable ya HDMI katika port ya GPU yangu niliyofunga Monitor haiwaki (No Signal) lakini nikichomeka ktk port ya onboard inakubali...nini shida Wakuu?? Nimejaribu kudisable Onboard graphics card lakini bado tatizo lipo pale pale...Msaada...
  7. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Katika shipping mbona wanaweka 23-44 days hawa ni wa free shipping? Vp kwa wale wanaocharge up to 20,000/= ndio hawa wa two weeks??
  8. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Ok ngoja nichek boss
  9. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Nitajitahidi nifanye hivi Chief, shukran sana.
  10. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    How long does it take ukiagiza ebay na cost za usafiri..!? Na naweza kupata kwa cool price kuliko kuisaka hapa Bongo
  11. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Duuuh FIFA 19 nayo pia at 1080 kwa GTX 750ti..!? Hii imekaa poa
  12. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    Chief vp kuhusu processor yangu umeipitisha!? Na nikifunga GPU ya Nvidia 2gb na kuongeza Cooler mambo yatakua sawa au!?
  13. Asiejulikana

    Building:Wataalam Sogeeni pande hizi

    So hapo niongezee cooler na power supply nitafute ya namna gani?
Back
Top Bottom