Okonkwo Jr,don't panic mungu anamakusudi yake,labda kamuepusha lowasa kuna kitu kingemkuta au kuna kitu kampangia tofauti n urahisi tena ni kizur zaid,usiwaze just pray
Habari za kazi wakuu,mimi no mschana mwenye umri wa miaka 23, Nina elimu ya Diploma ambayo nimesomea mambo ya biashara.
Kwa muda sasa naangaika kutafta ajira bila mafanikio yeyote ,nilikua naomba mnisaidie wakuu kupata ajira yeyote yenye uhalali.
Asanteni.
Asante mkuu,naishi dar maeneo ya mbezi kimara,cijawai Fanya biashara y aina yyte,nasomea uhasibu ndoto zangu nikua muhasibu n mfnya biashara hapo baadae hususan restaurant, na ishi nyumban kwa wazazi ,chuoni nasoma masomo y jioni kuanzia xaa 12 mpk 3 usiku.
Salamu kwa wote,
Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo CBE nina mtaji wa sh laki nne, nahitaji kufanya biashara ya kujiongezea kipato huku nikiwa nasoma, naomba ushauri ni biashara gani nifanye?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.