Recent content by ashrei brown

  1. A

    Afya ya ngozi

    Kuna mtu anapata black spots usoni vinakuwa na kusambaa usoni, huwa anasumbuliwa sana na mionz ya jua...ametumia mafuta mbalimbali hata wanayo tumia ma albino lakin hayajamsaidia...ushauri wa kitabibu please
  2. A

    Mpenzi wangu kanichunia

    Guys nipeni njia ya kumsahau huyu jamaa takufa na mawazo
  3. A

    Mpenzi wangu kanichunia

    Yaan najilaumu mpaka nahisi moyo wangu unahisi kutoboka..nashindwa kuvumilia kutokumtafuta nae hapigi du mapenzi hay
  4. A

    Mpenzi wangu kanichunia

    Habari wana JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa: 1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa nimelala..au niko busy...
  5. A

    Mapenzi yataka moyo wa jiwe kama chuma

    ushauri jamani wana JF Umeamua kuingia katika mahusiano na mwanaume uneyefikiri kuwa kuwa ni chaguo sahii kuwa nae na unampenda sana. Kakujengea mazingira ya uwazi, upendo mpaka mmefikia makubaliano ya muoane unachukua uamuzi wa kuwaeleza wazazi wako.. Anakuwa mwepesi sana wa kushiriki...
  6. A

    Nampenda mwanaume ila naogopa kumwambia nifanyeje

    Mimi ni binti wa miaka 25, niliwahi kuwa katika mahusiano hapo awali na kijana mmoja nilikuwa mwaminifu sana na nilimpenda sana lakini mwisho wa siku tukaachana bada yakugundua simwaminifu sikuwahi kuwa na mahusiano tena huu mwaka 2, sasahivi ametokea kijana mmoja nampenda sana lakini nashindwa...
  7. A

    kiswahili

    tofauti kati ya nipo na niko: mfano niko hapa na nipo hapa
Back
Top Bottom