Ahsante Kwa ushauri wako. kwa bahati mbaya mpaka mwaka ule Mama yangu alipofariki, Kwa Sisi watu wa chini ilikuwa si kawaida kupiga picha maana hapa namwongelea mtu aliozaliwa mwaka 1948.
Naomba uiposti hivyo hivyo Bila kitu linguine maana naamini kwamba ndug kami wapo watakumbuka stori hii...
Habari zenu? Natumaini wote wa forum hii hamjambo.
Kwa jina naitwa Ashery Jamal Masoud, nina miaka 57. Nilizaliwa hapa Dar es Salaam, na nimeishi hapa miaka yote kasoro kwa kipindi fulani nilipopata kazi Dodoma.
Hapo nimeamua kujieleza kwa sababu nawatafuta ndugu zangu na natumaini mtu mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.