Recent content by ashamakame

  1. A

    Samwel John Sitta: Nyota iliyozimika

    Sitta ni nyota inayoendelea kung'aa ila mnajitahidi kwa nguvu zote Kuizima au kuifunika ..... Lakini kawaida panapo ukweli uongo hujitenga....... Pia tukumbuke uongo hupaa ila ukweli hapanda ngazi... Hatua kwa hatua ... Vipingamizi vingi na miba ya kila aina mwisho wa siku ukifika juu haushuki...
  2. A

    Samwel John Sitta: Nyota iliyozimika

    Nina Shaka na uwelevu wako juu ya siasa au tuseme ni chuki binafsi
Back
Top Bottom