Akiwa anapita Iringa kuelekea Ruvuma kwenye sherehe za miaka38 ya kuzaliuwa CCM, akiwa Ipogolo alisimamishwa na vijana waliokuwa wakiimba na kusukuma gari yake
(msigwa tumemchoka,CCM tunaomba ukombozi,,,)
FATILIA VIDIO HII
http://youtu.be/v9F7ad9EUHU
Naibu Katibu Mkuu Wa Umoja Wa vijana Wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Bwana Shaka yupo mkoani Mtwara kwa ziara ya wiki mmoja akitumia mbinu mbali mbali ambazo zimefanikiwa Zanzibar na kukitikisa chama cha CUF Znz hasa wakati Wa mwezi Wa sherehe za miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar
Akiwa Mtwara...
mkuu ushahidi huu hapa
bishana na nyerere
anasena."kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM
http://www.youtube.com/watch?v=bQuy-njrnKo&feature=youtube_gdata_player
lete hoja ingine
najua unatamani angesema.anatotoka ACT
MWALIMU NYERERE NDANI YA MKUTANO MKUU WA CCM WAKUTEUA MGOMBEA WA URAIS WA CCM MWAKA 1995.
mwalimu Nyerere anaanza;
"Rais amewaaambieni na mimi na sisitiza ,ntamalizia hapo sitaki kuchukueni muda wenu mrefu
Teueni mgombea,ambae atakidhi matarajio ya wananchi (makofi),
acha matarajio yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.