Recent content by asc

  1. asc

    Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

    Usijali madhehebu yanasema nini au yanafanya nini,bali Mungu amesema nini katika neno lake... Hiyo ndiyo kweli na sio madhehebu yaliyoanzishwa na wanadamu kama mimi na wewe tu
  2. asc

    Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

    Halafu 1 tim 2:8-10, 1 pet 3:5, 1 kor 14:35 hayo maandiko yanamuhusu nani, mwanamke haruhusiwi kuwa mchungaji wala shemai wala kupewa kazi yoyote ya kiinjilisti,inatakiwa akahudumie familia yake huko nyumbani,ndo kazi aliyopewa.... Note: Haiwezekani maandiko yapingane... Kibiblia Huyo uwoya...
  3. asc

    Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

    Mchungaji mwanamke? Kwa maandiko yapi mwanamke anakuwa mchungaji, Mungu atusaidie sana wapendwa
  4. asc

    Jihadharini kuabudu wachungaji Wanadamu!

    Hasa yeye alikuwa ni nabii wa ukingoni, yaani kwa kizazi hiki. Yeye ni nabii wa mwisho wa kimataifa,ndiyo maana halisi ya malaki 4, maana yake hakutakuwa na nabii mwingine tena kama akina eliya, ni kwamba hapa sasa tupo katika wakati wa mabaki ya mwisho maana mjumbe alishatangulia mwaka 1965… ni...
  5. asc

    Jihadharini kuabudu wachungaji Wanadamu!

    Hapana, Biblia ilisema huyu Eliya atakapokuja dunia itateketezwa kwa moto... Swali, baada ya Yohana mbatizaji kuja dunia iliteketezwa kwa moto? Jibu hapana, utagundua hapo malaki 4 sio Yohana mbatizaji, Inamtaja kuwa ni mtu mwingine amabaye atakapowarudisha watu waelekeze mioyo yao kwa baba zao...
  6. asc

    Jihadharini kuabudu wachungaji Wanadamu!

    Turudi katika maandiko brother...malak 4 na malaki 3 ukiangalia wajumbe hawa wapo katika nyakati tofauti...labda utafite sababu nyingine isipokuwa hapo...si mtu mmoja...tazama tu je alipokuja Yohana dunia iliteketezwa?. Jibu ni hapana bali malaki 3 haioneshi uangamivu wowote..huyu ndiye Yohana...
  7. asc

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Biblia haikuruhu talaka...kama ni mujibu wa biblia...yeye amekosea Hta hvyo Bible haikuwahi kumruhusu kamwe mwanamke kuwa mchungaji,wala muhubiri wala mtume...wala kuhubiri katika kanisa bali imemtaka atii kwa kila namna
  8. asc

  9. asc

    Jihadharini kuabudu wachungaji Wanadamu!

    Alikuwa ni Eliya kweli...Malaki 4...ina mjumbe tofauti na malaki 3...malaki 4 inamtaja kwamba baada ya mjumbe huyu kurudisha mioyo ya watoto iwageukie baba zao..Dunia itateketezwa baada ya huyo kupita..hii ni tofauti na malaki 3..ambayo inataja Yohana mbatizaji ambaye aliuandaa ujumbe wa kuja...
  10. asc

    Jihadharini kuabudu wachungaji Wanadamu!

    Brother.... Hyo malaki 4 hujaielewa...haimhusu yohana hiyo...Malaki 3 ndiyo iliyokuwa ikimzungumzia Yohana mbatizaji, soma vizuri...
  11. asc

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    Wewe hujawahi kupigana vita kamwe... Ile vita ya Mungu na Shetani ilihamishiwa kwenye akili ya binadamu wala haikuosha hata...wewe umepewa tu uamuzi wa kuchagua ni upande upi wa kukaa na kuusimamia
  12. asc

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Kamwe Biblia neno la Mungu haikuruhusu wahudumu wanawake,wahubiri au wachungaji... Hili ni fundisho la kipepo..Hivyo Christina Shusho si mtumishi wa Mungu kulingana na maandiko
Back
Top Bottom