Recent content by Asbm

  1. Asbm

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hospitali iliyojengwa haraka zaidi, yaanza kazi

    Daaa,natamani siku moja kama nchi tufikie uwezo wa kufanya mambo ya kijamii kwa spidi na yenye ufanisi hivo
  2. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Nafaham soko la Iringa mkuu kwani nimeuza sana mayai na najua demand bado ni kubwa sana hasa kwa miezi ya baridi.Sijajua kuna wafugaji wangapi wa layers ila soko la mayai ndo ninauzoefu nalo
  3. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Kuna wafanyabiashara wengine hawaingilii faida kubwa sana ila wanapendelea mzunguko(utokaji) ndo uwe mkubwa kwani faida inapatikana haraka na hivo kuwa kubwa zaidi
  4. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Ni sawa mkuu.Nimeweka the lowest price nikijua kuna kipindi mayai bei inakuwa juu na wakati mwingine yanakuwa chini.Ahsante kwa mchango wako pia
  5. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Tuombe Mungu mkuu,tukifanikisha adhima yetu waweza kufikiriwa
  6. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Mkuu yawezekana kuna ukweli au kuna uongo kama unavosema.Labda hadi uingie kwenye hiyo biashara ndo waweza jua kama kuna ukweli au la
  7. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Mkuu target ni kufuga kuku wa mayai zaidi ya elfu 10.Nikifikia lengo hilo soko la Iringa pekee halitatosha kukidhi idadi hiyo ya mayai ndo maana nimetarget soko la Dar pia.Kuhusu cost ya usafiri itakuwa compensated na idadi kubwa ya mayai yatakayouzwa Dar
  8. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Nina uzoefu usiopungua miaka 3 mkuu.Cjawahi kuwa na partners before
  9. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Hakuna lisilowezekana mkuu ukiweka nia.
  10. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Mkuu kujaribu ni bora kuliko kukaa kimya
  11. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Mkuu nazungumzia kitu ambacho nina uzoefu nacho.
  12. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Soko ni kubwa sana mkuu.Nashukuru kwa mchango wako.Cjafanikiwa tu kuattach doc inayoonyesha demand ya mayai kwa Dar pekee yake.Nitafanya hivo
  13. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Nashukuru kwa maelezo mazuri mkuu.Kiukweli upo sahihi sana.Kuhusu vyombo vya kufugia na gharama za kusafirishia chakula vipo ila pia itakuwa na makubaliano kati ya partners
  14. Asbm

    JamiiForums Tanzania Nahtaji serious business partners wa ufugaji wa kuku wa mayai

    Mtaji kidogo wa kuanzia na vifaa mkuu
Back
Top Bottom