Recent content by asaprichie

  1. asaprichie

    Wauza smartphone tukutane hapa

    iphone 11 promax inauzwa hyo apo ni kuchange kioo na back screen. 0765802275
  2. asaprichie

    Mume wangu hapendi ndugu zangu

    Aiseee wewe ulikuwa kwny akili yangu aisee....yaani ukiangalia kwa jicho la pili dada kzinguaa...afu sasa wanavojua kulalamika...
  3. asaprichie

    Mume wangu hapendi ndugu zangu

    Samahani kama ntakuwa nimekoseaa lakini ukiangalia kwa upande mwingine naona kama tatzo liko kwako...watu wawili wanapokutana na kuamua kuish pamoja kila mtu huwa anakuja na lifestyle ya kutoka kwao alipolelewa lakini ili muweze kuish pamoja inabid kila mmoja ajue ni lyfestyle gan alitoka nayo...
  4. asaprichie

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Mapenzii ni sirii...Mapenzii ni uchafu na Mapenzii ni furaha...Yaani mwanamke ampe mwanaume furaha na mwanaume ampe mwanamke furaha...Sex is happy ending...Kama mlizoesha kuwa mwanaume anyonywe ndo afurah bas iwe hvo na kwa mwanamke iwe hvo...mke kama mume amekwambua hayuko comfortable kunyonywa...
  5. asaprichie

    Picha: Je, utakubali kufanyiwa hivi na Mwanamke wako?

    Me mke wng ananifanyia hvo kilaa siku na anajua hiyo ndo weakness yangu...ata usiku tukilala lazima anichokoze kwa style hyo...acheni kuwaza vinginevyo
  6. asaprichie

    Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    nachodhani apo labda ww una wivu kwasabbu muda mwingi anatumia kwa watoto kuliko wewe
  7. asaprichie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    angalia code ipo apo juu mzee
  8. asaprichie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ya kwnza inaanza saa 5 asbh wahiii
  9. asaprichie

    Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    1. Anavowatreat wafanyakazii sipendi afu ukizingatia wao ndo wanatulelea wanetu...Muda mwingine naumia sana...nishamwambia kuwa apunguze lkn hasikiii Hilo ndo kubwaa
  10. asaprichie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumbe ndo wanavofanya hvo??? nlikuwa sifaham kwhyo nitulie tu ya tgo itarudii???
  11. asaprichie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naimbenii msaada mimi nilideposit kwa kutumia tgo pesa kwny 1xbet sasa kwny kuwithdraw hakna option ya kupitia tgo pesa..ipo kwa mpesa tu ambayo kwngu siwez itumia...nafanyaje nitoe ela
  12. asaprichie

    Nakataa: Hakunaga wanandoa kunyimana penzi zaidi ya mwezi

    Naunga Mkono hojaa!!!...Mimi kwa Mke wangu siombiii ata kdgo na haipiti siku mbilii ni mizagamuo..akipita nikishika tako tu basi mizagamuo inaanza....Kwnza sijawah ata siku moja kumuomba...huwa tunaanza tu automatically na ikipita siku 3 bc ujue tunakaugomvi
Back
Top Bottom