Hatari fire. Natamani sana Tanzania ifike mbali, juhudi zangu haziishii tu kutamani bali natoa msaada wa vitabu vya kisasa nyanza zote. Nitumie jina la kitabu na edition tu nikutafutie. Kuweni na siku njema asante wote!
Kaka ukisikia mtu yupo Canada Marekani au Europe usishtuke maana unachokiona kwenye TV sio reality. Na hatakama ningekua na hela bado nisingependa kuzitumia vibaya eti kwavile nipo Canada.
Naishi nchini Canada nilikua najenga bongo, kutokana na mafundi wengi hapo bongo wamekua wababaishaji, wezi wa vifaa na uchakachuaji niliamua kumtoa fundi kutoka Moshi.
Mafundi kutoka Moshi niwauhakika na bei poa sana. Kafanya kazi yangu vizuri na nimeipenda sana, hakuna longolongo nauzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.